Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaChelsea loan armychelsea loan ZoumaKurt ZoumaStoke City

Kurt Zouma aonekana akifanya mazoezi na klabu ya Stoke City.


Beki wa Chelsea Kurt Zouma leo alionekana katika uwanja wa mazoezi wa Stoke City akielekea kufanya mazoezi,inatazamiwa Zouma atajiunga na klabu ya Stoke City kwa mkopo wa msimu moja. Kurt Zouma aliaanza kuweka mizizi katika kikosi cha kwanza cha Chelsea hadi pale alipopata majeruhi yaliyomuweka nje ya uwanja kwa msimu miezi nane,tangu apone amekuwa na wakati mgumu kupata namba ya kudumu katika kikosi cha Conte. Japo sio Chelsea wala Stoke City waliotangaza kukamilishwa kwa uhamisho huo ila mpaka sasa inaonekana Stoke City wamezishinda klabu nyingine zilizokua zinamuwania beki huyo.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib