Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Ac MilanAlvaro MorataChelseaConte Transfer TargetMadrid

Rasmi..Chelsea wafikia makubaliano na Madrid,kumsajili Morata kwa ada ya paundi milioni 75.


Baada ya Antonio Conte kusaini mkataba mpya habari njema zinaendelea kusikika masikioni mwa mashabiki wa Chelsea kwani Chelsea wamefikia makubaliano na klabu ya Real Madrid kumsajili mshambuliaji Alvaro Morata kwa ada ya paundi milioni 75. Katika kuthibitisha hilo zaidi mwandishi wa habari za michezo wa Daily Telegraph alisema amedokezwa na mtu wake wa karibu anayefanya kazi ndani ya Madridi kua uhamisho wa Morata umeshakamilika. Ikiwa Chelsea watakamilisha usajili wa Mhispania huyo watakuwa wamevunja rekodi yao ya usajili ya paundi milioni 50 walizotumia kumsajili Fernando Torres.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib