Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

Chelseachelsea loan ZoumaKurt ZoumaNew ContractStoke City

Kurt Zouma asaini mkataba wa miaka sita Chelsea,ajiunga rasmi na Stoke City kwa mkopo.


Beki wa Chelsea Kurt Zouma amesaini mkataba mpya wenye urefu wa miaka 6 kuitumikia klabu ya Chelsea na pia Zouma amekamilisha uhamisho kwenda klabu ya Stoke City ambapoa ataichezea kwa mkopo wa msimu moja.Chelsea wameonyesha kua na imani kwa Kurt Zouma ambaye msimu uliopita alikosa karibu nusu ya msimu kutokana na kua majeruhi,Chelsea wameamua kumtoa beki huyo kwa mkopo ili apate muda zaidi wa kucheza ili arudi kwenye kiwango chake cha zamani.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib