
Klabu ya Watford imefanikiwa kuinasa saini ya kinda wa Chelsea Nathaniel Chalobah kwa ada inayoaminika kuwa paundi milioni 6 na wamempatia mkataba wa miaka mitano. Chalobah amekua nyota mwingine mwenye umri mdogo kuachiwa na klabu baada ya Chelsea kumuuza Betrand Traore hata hibyo Chelsea walimpa Chalobah mkataba mpya ambao aliukataa baada ya kuwaambia kua anataka nafasi ya kudumu kucheza kikosi cha kwanza


No comments:
Post a Comment