Blog ikuleteayo habari mbali mbali kutoka klabu ya Chelsea kwa lugha ya kiswahili.

Climb the mountains

Post Page Advertisement [Top]

ChelseaN'golo KantepsgUEFA

Baada ya PSG kumfanya chaguo la kwanza kwenye dilisha lijalo la usajili Kante asema kwake Chelsea ni nyumbani.


Kiungo wa Chelsea N,golo Kante ameonyesha kuwa hana mpango wa kuihama klabu ya Chelsea msimu ujao baada ya klabu ya PSG kuweka wazi kua Kante ndie mcchezaji chaguo la kwanza katika dirisha lijalo la usajili.Kante alisema "Nipo nyumbani ,ni klabu yangu na ni mchezaji wa Chelsea,huu ni msimu wa wangu wa pili na Chelsea,msimu uliopita ulikua mzuri sana kwangu kwa sababu tulifanikiwa kuchukua ubingwa,msimu wa pil nimepata nafasi ya kuchelza ligi ya mabingwa na sasa tunajitahidi kuhakikisha tunamaliza katika top 4".  Klabu ya Chelsea ipo nafasi ya sita kwenye ligi kwa sasa ikiwa imebaki michezo nane tuu bila shaka mchango wa Kante unahitajika sana ili kuhakikisha timu inafanikiwa kuingia kwenye top 4.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib