Climb the mountains
Aliyekuwa mchezaji mkongwe wa Chelsea na timu ya Taifa ya Uingereza Ray Wilkins amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 baada ya kupata mshtuko wa moyo wiki iliyopita na kupelekwa hospitali.Mkongwe huyo alipata mshtuko wa moyo akiwa yupo nyumbani kwake na kupelekwa hospitali ya St George ambapo alikuwa kwenye coma kwa siku tano bila kuamka mpaka mauti yalipomfika.Wilkins pia alipata nafasi ya kuichezea Manchester United,AC Milan,PSG na QPR enzi za ujana wake huku akiichezea timu ya taifa ya Uingereza mechi 84.
Tags: Chelsea Legend
, Ray Wilkins
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment