Klabu ya Chelsea wamedhibitisha kumtoa winga Juan Cuadrado kwa mkopo wa miaka mitatu kwenda Juventus klabu aliyoichezea msimu uliopita.
Climb the mountains
Hawa ndo wachezaji Chelsea inaoweza kuwasajili masaa sita kabla dirisha la usajili halijafungwa leo.
1.David Luiz Klabu ya Chelsea bado inahangaika kupata beki wa kati atakaesaidiana na John Terry pamoja na Gary Cahill na habari zinasema Lui...
Klabu ya Chelsea imekamilisha usajili wa Marcos Alonso kwa dau la paundi milioni 20 kutoka Florentina, klabu ya Chelsea inategemewa kumtanga...
Klabu ya Chelsea imetuma ofa ya paundi million 32 kumrudisha David Luiz, beki huko aliuzwa kwa paundi milioni 50 miaka miwili iliyopita ila ...
Mshambuliaji wa Chelsea amesajiliwa na klabu ya Crystal Palace kwa mkopo wa msimu moja huku kukiwa na kipengere cha kumnunua moja moja mwish...
Klabu ya Chelsea leo wamethibitisha kua wamemsajili golikipa Eduardo kutoka Dinamo Zegrab, inaaminika kipa namba mbili Asmiri Begovic ataond...
AC Milan have confirmed on their official Television channel that they have turned down a bid "in excess of €25 million" defender ...
Watford 1 : 2 Chelsea 2016 Match Highlights all Goals
Klabu ya Chelsea imetuma ofa mpya ya paundi milini 60 ili kumsajili beki wa Napoli Koulibaly, Chelsea wamejaribu kumsajili beki huko zaidi y...
Katika mfululizo wa kutoa game mpira wa miguu maarufu kama Fifa, tayari kwa mwaka huu limetoka na wakuwafanya wapenzi wa video games kufanya...
Kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas ambaye klabu ilijaribu kumuuza kwenda klabu nne barani ulaya amesema yeye angependa kubaki darajani na kugom...
Klabu ya Crystal Palace wameingia katika mbio za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Che lsea Loic Remy ambaye anategema kuuzwa ili kumuachi...
Kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte amefanikiwa kuanza ligi ya Uingereza kwa Ushindi wa goli mbili dhidi ya 1 la mahasimu wao West Ham, Chel...
Klabu ya Chelsea imemuweka kiungo Cesc Fabregas sokoni na tayari wamesha muofa kwa klabu kama Real Madrid na Barcelona, hata hivyo kwa Barce...
Chelsea wamekua kimya kidogo kwenye dirisha hili la usajili hasa baada ya kufanya vibaya msimu uliopita, ilitegemewa wangekua bize sokoni ku...
Wakala wa beki wa Napoli amesema hatma ya mteja wake itajulikana ndani ya siku 2 au tatu amesema kwa sasa hawezi kusema chochote ila ndani y...
Klabu ya Chelsea inajaribu kumsajili Blaise Matuidi wa PSG kwa ada ya paundi milioni 43, Chelsea wanalenga kuimarisha safu ya kiungo na ulin...
Imeripotiwa klabu ya Juventus wanamsaka kiungo wa Chelsea Nemanja Matic kwa udi na uvumba ili akazibe pengo lililoachwa na Paul Pogba n awap...
Usiku wa kuamkia leo tumecheza na Ac Milan tukifanikiwa kushinda goli tatu kwa moja. Chelsea walikua wakwanza kujipatia goli kupitia Bertra...
Sasa unaweza kua moja ya watakaojishindia zawadi maalumu kutoka Chelsea ni rahisi sana Kushiriki bonyeza hapa itakupeleka moja kwa moja kwe...
Beki wa kushoto wa Chelsea Rahman Baba amejiunga na klabu ya Schalke ya Ujerumani kwa mkopo, beki huyo alijiunga na Chelsea kwa ada ya paund...
Klabu ya Chelsea leo wamethibitisha kua Winga machachali wa Misri amejiunga na As Roma ya Italia kwa uamisho wa moja kwa moja Salah aliichez...
Chelsea wapo tayari kuwapatia Everton pesa pamoja na mchezaji ili kuwashawishi kuwauzia mshambuliaji Romelu Lukaku, Lukaku aliuzwa na Chelse...

